Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ahitaji spika,mwenye nayotufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Kilo 2.2 95,000/= Delivery in dar na mikoan tunatuma pia 0717-062242 Tupo k.koo (CHINA PLAZA)
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Kiwanja hiki kipo nala kibaoni 2.Eneo liko umbali wa kilomita 13 kutoka katikati ya mji(town centre) 3.Eneo liko umbali usiozidi kilomita 1.2 kutoka barabara kuu iendayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu; Ninauza shamba lenye square meter 2400 ( width 40 length 60) Location: Mmbande kwa mbele kidogo kama km 2.5 mpakani na...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Some of our Pre Form ONE students at Excellent Training Center attending computer training session for free . We are aiming to spread ICT skills to our clients. Bring our child today. Call us...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Jamani wakuu naomba mnijuze maeneo/sehemu/mtaa kunakouzwa vitambaa mbalimbali vya kushona hasa vya wanawake Kariakoo.Asanteni
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Maamuzi Ya Uchungu Ya Kutotaka Mahusiano Tena Yamekuwa Ni Kawaida Kwa Baadhi Ya Vijana Siku Hizi. Lakini Pia Unywaji Wa Pombe Ni Tabia Ambayo ImekuwepoTangu Enzi Na Enzi. Aidha Utafiti Unaonyesha...
1 Reactions
0 Replies
758 Views
Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nnje ya nnchi kwa bei nafuu saana. Wasiliana nasi kupitia; · +255768181757 · Or · +255754961148...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau?! Kama kichwa kilivyoeleza hapo mayai ya kuku wa kienyeji wanahitajika kwa wingi mkoan Mbeya. Kama una access nayo naomba ni pm tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wadau, Natafuta simu ya kipato cha chini kama 250k hivi ila lumia. Sasa naziona hizi nokia na microsoft sokoni. Nashindwa kufanya choice kwani zinafanana. huwezi jua ipi ni orijinal au fake...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Shamba lipo eneo la kijiji cha Soga-Kongowe Kibaha karibu na panapojengwa mradi wa reli ya kisasa ya standard gauge. jumla zipo ekari tano na kila ekari moja ni shilingi milion sita (6,000,000/=)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Starter 60000/= Shockup @ 40000/= Site mirror ya kushoto 30000/= Seat belt 20000/= Engine sample 40000/= Vyote ni used Vinapatikana gongolamboto Mawasiliano: 0625561339
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kiwanja chenye nyumba kina ukubwa wa sqm 1400 na kimepimwa.Kipo ndani ya halimashauri ya mji wa Makambako barabara kuu kuelekea njombe bei ni kuanzia 17M maelewano yapo. Kwa anayehitaji ani PM...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari ya leo? Kama atapatikana mteja wa kuchukua ekari zote 21 kwa (70 maongezi )ni sawa pia . Shamba ina mawe tayari na hati iko katika process. Eneo ni Fukayosi Bagamoyo. 1)Pana nyumba ya...
0 Reactions
5 Replies
871 Views
Wakuu habari?nahitaji tablet mpya au used ila isiwe na muda mrefu nina 200k, ukiwa dsm itapendeza zaidi
0 Reactions
25 Replies
2K Views
KWA WENYE KUTHUBUTU TU INGIA HAPA
1 Reactions
16 Replies
2K Views
.....
0 Reactions
0 Replies
611 Views
wasalaam ndugu zangu. 1.Eneo liko mbwanga mwanzoni inapopakana na nkuhungu ni sehemu bora sana 2.Umbali kutoka town centre ni kilomita 6 3.Umbali kutoka barabara kuu ya lami iendayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nnje ya nnchi kwa bei nafuu saana. Wasiliana nasi kupitia; · +255768181757 · Or · +255754961148 pia...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…