Habarini za kuamka wana JF, mm nimefungua saloon ya kike Nyamongo Tarime, ninatafuta mfanyakazi ambae naweza kufanya nae kazi kwa uaminifu, ntamwachia Saloon ataiendesha mm ninajishughulisha na kazi nyingine, mwenye kuhitaji au kama umesikia mtu anatafuta kazi za Saloon tafadhali nisaidie.