Niwie radhi mkuu nami nitumie uwanja wako, nahitaji Singer za kizamaniHabari,
Wakuu kama heading inavyoeleza nahitaji cherehani hizi za kawaida (singer au butterfly). Kama kuna muuzaji tafadhari naomba uje PM. Napatikana dsm.
NB: Najua nikienda k/koo nitapata but nimeamua hii biashara niifanaye na fellow GT.
Asante dada planett MobetoAsante kwa mchango wako. Haya kakojoe ukalale.
Mimi ninayo deson. Niliinunua miezi 3 imepita kwa ajili ya mdogo wangu.Ameghairi kuendelea na sewing so imebidi niiuze. Being 200000 negotiable.Habari,
Wakuu kama heading inavyoeleza nahitaji cherehani hizi za kawaida (singer au butterfly). Kama kuna muuzaji tafadhari naomba uje PM. Napatikana dsm.
NB: Najua nikienda k/koo nitapata but nimeamua hii biashara niifanaye na fellow GT.
Mimi ninayo deson. Niliinunua miezi 3 imepita kwa ajili ya mdogo wangu.Ameghairi kuendelea na sewing so imebidi niiuze. Being 200000 negotiable.
.View attachment 595689
Una work permit?Ukipata Vinne naomba uniite nije kuwa Meneja Muajiri kwenye hicho Kiwanda chako.