Vyumba vinapangishwa

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
5,377
8,844
-Vyumba viwili self ( yaani sebule, chumba, choo na bafu..choo na bafu vipo chumbani)..
-Vipo kigamboni- vijibweni, vipo karibu na kituo cha mabasi mwembeni barabara ya darajani kama dakika 2 tu kwa miguu kutoka kituo cha basi.
-Maji yapo - bure
-Umeme - wapangaji wanajitegemea luku yao..jumla wapangaji wote ni wanne pamoja na vyumba hivi
-Bei- 150000/- laki moja na nusu
-haina udalali.
-0625503755..mtafute huyu
DSC_0042.JPG
DSC_0041.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom