Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza nissan xtrail ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo -mileage 145,000 -automatic -4wd -haidaiwi chochote -Full ac Angalia picha ukipenda njoo 0685369349 tuzungumze
1 Reactions
104 Replies
13K Views
Autoguru Workshop tunatoa ofa ya Dinning table ikiwa na viti4 kwa laki4 tu 0688767668 au 0715967107 Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KiSOI HOUSE OF PIPES[emoji344] [emoji818]koki za maji na mixer zake bila kusahau gate valvue [emoji818]fitting za bomba za chuma na IPS(INCHI ZOTE ZNAPATIKANA) [emoji818]Vyoo vya kukaa na...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Mageti bei sawa na Bure toka hapa *AUTOGURU WORKSHOP* Wahi punguzo la bei kabla halijaisha Bei ni pamoja na kukufungia kwako tunakukabidhi geti likiwa linatembea Upana 8ft bei ni 1.3m Upana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mageti bei sawa na Bure toka hapa *AUTOGURU WORKSHOP* Wahi punguzo la bei kabla halijaisha Bei ni pamoja na kukufungia kwako tunakukabidhi geti likiwa linatembea Upana 8ft bei ni 1.3m Upana...
0 Reactions
0 Replies
46K Views
Nauza DVR mpya ikiwezekana zote kwa pamoja bei poa kwa zote. Zipo pcs 5 za 16 channels na zipo pcs 2 za 8 channels. Zote brand new. Hizo DVRs zinakuja na adaptor yake na mouse na user manual na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangazo... Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Nauza Kiwanja tegeta boko(dawasco) kabla ya basihaya ,ukubwa 400sqm ,kimepimwa na hati miliki,bei million 28 tu, .karibu ufurahie upepo wa bahari ni mita chache kutoka baharin Sent using Jamii...
1 Reactions
95 Replies
10K Views
Tunauza soksi Mpya na viatu vya kiume vya mtumba. Soksi/ pair 6,000/=, Ila ukinunua kuanzia pair 5 tunakuuzia soksi/pair Shilingi 5,000/=. Soksi Designs 4 zimebakia kama zinavyoonekana kwenye...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Tunasafirisha mizigo kwenda IGUNGA NZEGA KAHAMA SHINYANGA n.k.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
1 Reactions
2 Replies
701 Views
Wakuu habari Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Meza na kiti kwaajili ya matumizi ya mbalimbali kama ofisini, mobile money office, shuleni, nyumbani kusomea,na matumizi mengine..! viko katika hali nzuri kama unavyoviona, Bei 50k au elfu...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
hawa ni samaki wa kufuga kama mapambo wanazaa na wapo wengine wanataga aina na bei zake 1.gold shubkin 10000 kwa pea yaani mke na mume 2 gold salasa elfu10000 kwa pea yaani mke...
3 Reactions
47 Replies
16K Views
Wakuu nauza shamba langu liko Bomang'ombe Kilimanjaro ni mwendo wa dakika 10-15 toka boma mjini ni mita 600 toka Barbara kuu ya lami inayoenda Moshi karibu na sheli ya mtoni darajani kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu..... Nahitaji betri ya laptop yangu ambayo ni Ni HP elite book 6930p Kwa yeyote anayeuza binafsi au dukani aniambie alipo nimfuate na aweke bei pia... Shukran
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Vunja Bei: Brand New Samsung galaxy Tablet Note, New Edition. Size: 10.1" Color: black/white storage: internal 32GB, : external SDcard up to 128GB Ram...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ufafanuzi kuhusu Soko la mayai ya kienyeji na maelezo sahihi juu ya mkoa/mahali yapopatikana kwa wingi. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Color White, CC 1490 AB ABS 140s km Total costs + Ushuru Tsh 10Mil Agiza nami: call/whatsapp +255715471659 e: hamoudautcom@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali Mtu yeyote mwenye moonstone gem na yenye moto/silk kali awasiliane nami.
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…