Nauza laptop

Nauza laptop

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
710
Nauza laptop aina ya HP kiasi cha 100,000/-tuu, iko vizuri tuu japo inatatizo ndogo tuu yani imezima na baadhi ya batani hazifanyi kazi, Ipo mbeya mjini maeneo ya Soweto, aliye tayari aniPM
Asanteni
 
Dah nimecheka kweli apo inatatizo dogo tuu yani imezima...dah
 
Nauza laptop aina ya HP kiasi cha 100,000/-tuu, iko vizuri tuu japo inatatizo ndogo tuu yani imezima na baadhi ya batani
hazifanyi kazi, Ipo mbeya mjini maeneo ya Soweto,, aliye tayari aniPM
Asanteni
Ungekuwa dar tunge ongea biashara
 
haaa unauza laptop ai spea ya laptop? halafu kwa laki moja? na haitaki? Acha utapeli bwana nenda kijijini kalime
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hilo ni tatizo dogo sana mkuu, imezima tu
Huyu dogo hayupo serious, sasa laptop isiowaka inaanzaje kuwa na tatizo dogo yani. Kama circuit imejikaanga je!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom