Ni mafundi mahili katika sekta ya kufanya finishing za nyumba ikiwa ni pamoja na Kuweka Tiles, Marbles/Granites,tangastone,kupaka rangi, kuweka gypsum nk, njoo tukupe ushauri pamoja na huduma...
Ninawatafuta wale jamaa wanaowatafutia watu vyuo au shule nje ya nchi nataka UINGEREZA UK, ambao wao hulipa kila kitu kisha muhusika anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo msaada wa mawasiliano yao...
Tunatoa offer za keki kwa bei rahisi. Pia tunakuletea popote ulipo
Cake [emoji512] za:
GRADUATION
BIRTHDAY
COMMUNION
ANNIVERSARY
KITCHEN PARTY
SEND OFF
WEDDING n.k
0717-966 128
0787-403 768...
Eneo liwe linafikika kwa gari. Kama ni daladala iwe moja au mbili hadi mjini kati. Napendelea morogoro road au maeneo ya bagamoyo road. ( sio bagamoyo) kiwanja kiwe kimepimwa ni vizur zaidi. Bei...
Wakuu habari za majukumu.
Namshukuru Mungu sasa naweza kutatua tatizo lililokuwa linanikabili. Nimefanikiwa kuiuza gari Kwa mwanajf mwenzetu.
Asanteni sana
Habari Wana Jamvi,
Rejea kichwa cha habari hapo juu,
Nahitaji bajaji kwa ajili ya biashara kujikomboa katika harakati za utafutaji, isiwe imechakaa sana iwe imetumika chini ya mwaka mmoja...
Nauza printer nimeitumia kama miezi miwili, bado ni nzima vya kutosha, ni HP inkjet 2135 inafanya kazi 3 kwa pamoja ambazo ni: Printing, Scanning na Photocopying. Anayeitaka ani-PM nipo dar
Vipo mbezi,kimara,kibamba,kibaha,chanika,mbagara,buza,bagamoyo,bunju,boko,nk hatua 20x 20bei kuanzia laki saba karibuni sana mawasiliano 0677570437/0717342414
Wadau habari..
Kama heading inavyojieleza mwenye anauza aina hiyo ya Camera iliyoko kwenye hali nzuri au anaefahamu maduka kati ya Arusha na dar.. Na bei zake naomba msaada.
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya kawaida browsing,kuandika documents na kujibia emails. Budget ni kati ya 300-350k.Battery iwe nzima tafadhali!!!
Wenye mashine tuchekiane!