Msaada wahusika wa kutafuta vyuo nje ya nchi

Msaada wahusika wa kutafuta vyuo nje ya nchi

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Ninawatafuta wale jamaa wanaowatafutia watu vyuo au shule nje ya nchi nataka UINGEREZA UK, ambao wao hulipa kila kitu kisha muhusika anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo msaada wa mawasiliano yao 0787 429 104
 
kama uko dar nenda sabasaba mbagala mle mle ndani wanajiita global..... something like that
kaongee nao ndo kazi zao utapata abc
 
Back
Top Bottom