Pata Dagaa safi na wasio na mchanga toka bukoba,Tunapatika kituo cha Taliani Kama unaelekea Chanika Jijini Dar es salaam.... Bei ya kilo moja ni shilling 8000/= kwa mawasiliano zaidi piga namba...
kichwa cha habari kama kinavyojieleza vifaranga wawe na wiki mbili au chini ya hapo. na wawe wanapatikana maeneo ya jiji la arusha muuzaji weka comment hapo, bei yako na mawasiliano yako
[emoji837]LIMITED TIME OFFER [emoji837]
Biggest [emoji985]Website Design OFFER!! accompanied with great services[emoji1417] to grow your business online[emoji817]
Contact us now
W...
Habar!
Tunatoa huduma ya fumigation and Pest Control service hapa Arusha Kwa wenye Changamoto ya wadudu kama Mende, kunguni, mchwa, sisimizi, Panya n.k katika maeneo ya Mahotel, majumbani...
Husika na kichwa hapo juu natafuta kiwanja Arusha maeneo nayopenda hasa ni kwa Mromboo, ukubwa kuanzia mita 20/20 na kuendelea ni vyema kama ukaweka na bei yako kabisa hapa.
Asanteni.
Habari zetu wana jamvi...naomba kujua bei ya Toyota Coaster hapa dar kwenye show room. Pia endapo nitakuwa na pesa pungufu ya kununulia inawezekana kupewa gari halafu ukalipa kidogo kidogo hadi...
Nina dharura nahitaji Tsh 1,000,000 Tafadhali kama unajua mtu yeyote anayekopesha au nnapoweza kupata leoleo kwa riba... naweza kuweka vitu vya ndani kama dhamana,
1.Friji jipya
2.Sofa set ya...
wakuu nauza injini ya 1kz-te, haina tatizo iko kwenye toyota hiace super custom. sababu ya kuuza nataka niifanye hiyo hiace kuwa daladala na hiyo injini ya 1kz ni kubwa ina turbo haifai kwa...
Mac book Air 2011 HDD 64gb,core i5 processor 1.6 2gb ram inauzwa 650000/= kwa mawasiliano 0628993916.
Tatizo charger inaloose. Long lasting battery. Hela inatakiwa cash kuna shida.
Habari zenu nauza asali mbichi isiyochanganywa na kitu,Lita moja shilingi 15,000/ Lita ishirini sh 220,000/ nakuletea ulipo kwa DSM, morogoro,Dodoma na mbeya. Karibuni na ninatafuta soko.kwa...
Natafuta nyumba ya kupanga ya bei nafuu jijini Dar. Sasa natafuta mtu mwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule self au dalali mwenye nayo...
Sababu za kuhama kwenye hili mansion ninalokaa sasa...