Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Over 25 years of experience. It is all about corrosion protection of buried and underwater steel pipelines, buried and above ground storage tanks,piles and other offshore structures.Our services...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Nianze moja kwa moja. Nipo katika mpango wa kufungua maduka makubwa la kuuza vyakula vya kuku huku mkoani mwanza. Ofisi zangu zipo tayari kwa sasa natafuta sehemu ambayo naweza kupata mzigo wa...
1 Reactions
0 Replies
831 Views
Ukubwa wa 500sqm kina leseni ya makazi kutoka wizara ya ardhi maelezo zaidi nifate pm
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Karibu. Jumla ni Hisa 1000 kila moja naiuza 800 kama unahitaji nipm tumalize biashara.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Year 2000 Maker TOYOTA Drive 2WD Color SILVER Name VITZ Engine 990 Mileage 147,000km Tshs. 8,700,000/= PUNGUZO LIPO Contact 0625568600
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza kiwanja changu babati kina ukubwa wa Sqmeter 886 viwanja serikali viligawa kwa awamu tatu na vina certified title deed kutoka serikalini. Ipo barabara ya kuelekea arusha na it's only 3...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari. PC yangu ni DELL LATITUDE E6410. Jumba (housing) linaloshikilia kioo chake limechoka sana. Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia nipate spea yake tuwasiliane kwa namba 0785777710...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Madalali tuungane, niko Arusha... tupanue network zetu tafadhali.. Post kazi uliyonayo hapa tusaidiane kutafuta wateja Ila uaminifu Kwanza.. Asante.. nifollow instagram @Dalali_arusha01...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jipatie MiFi kutoka kampuni ya smile telecommunications yenye uwezo wa kuconnect devices 10 kwa wakati mmoja na wote mkafurahia kasi ya ajabu. Rangi ni nyeusi na nyeupe Tsh 115,000/= + 10 Gb kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
**Offer offer offer 1. lipia Canal miezi miwili kwa 40,000/= kila mwezi. 2. Utapata wiki mbili za kifurushi EVASION+ Yenye A+ SPORT Channel number 101. Malipo ya kawaida Axcess = 20,000/=...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Karibu kwa wataalamu wa ujenzi wa Ofisi Na MADUKA yakisasa mjini, tunafanya Kazi Na clients kuanzia design stages to implementation, tunatoa huduma nyingine Kama Arch. visualisation Na product...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bei ni 5m tu. Gari ipo katika hali nzuri sana. Nipigie... 0716548250
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza mashine hii ya kukatia aluminium bei 270000/ Mashine ni nzima Njoo ujipatie Napatikana dar 0715591141 kwa mawasiliano zaidi Ova
0 Reactions
0 Replies
6K Views
used but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Bei chee tu haina kasoro GB 16 Ram 2 GB Camera 13 MP Duos Betri 4000mAh Full kipupwe njoo ukague kabsa kama ikiwa na kasoro nakupa garama za usumbufu Tsh.250000
0 Reactions
3 Replies
918 Views
habari zenu wapendwa? tunauza Mashine za kuangulia vifaranga(Incubator) bei poa pia ni automatic,,na zinaanzia mayai 50-1000. pia tunatoa elimu ya matumizi na ya uifadhi wa mayai...karibuni sana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za humu wanajukwaa! Natumai wote mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku ya kuhakikisha mnakuwa na Maisha bora.Nahitaji msaada wa nyumba ya kupanga lkn maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
GOOD HOPE SECONDARY SCHOOL, INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2018, Pia ina nafasi kwa kidato cha pili, cha tatu na cha nne. NI SHULE NZURI NA YENYE...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
TUITION TUITION TUITION. KWA WANAFUNZI WOTE WALIOKO KAGONGWA, MPERA, ISAGEHE NA BUGISHA NA MWALUGULU MNAKARIBISHWA MASOMO YANAYOFUNDISHWA NI, PHYSICS CHEMISTRY BIOLOGY KISWAHILI HISTORY GEOGRAPHY...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana jf, Kutokana vyuma kukaza nimefikilia kuanzisha biashara ya zambalau ambayo itanisaidia kujikwamua na hii hali ngumu yasasa Anae yajua masoko plz, msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom