Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 753
- 659
Wadau habari.
PC yangu ni DELL LATITUDE E6410. Jumba (housing) linaloshikilia kioo chake limechoka sana. Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia nipate spea yake tuwasiliane kwa namba 0785777710.
Vilevile nataka na betri yake kama itapatikana. Asanteni