454
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 136
- 193
Habari za humu wanajukwaa! Natumai wote mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku ya kuhakikisha mnakuwa na Maisha bora.Nahitaji msaada wa nyumba ya kupanga lkn maeneo ya mbagala,Chamanzi,Kongowe,kigamboni,twangoma,mwandege na maeneo mengine yaliyo jirani na maeneo hayo.Sifa za nyumba:1.iwe na sitting room,Jiko,Choo cha ndani na vyumba vya kulala visivyopungua viwili lkn vikizidi itakuwa bora zaidi bajeti yangu ni 150000