Natafuta soko la biashara

Natafuta soko la biashara

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Habarini wana jf,

Kutokana vyuma kukaza nimefikilia kuanzisha biashara ya zambalau ambayo itanisaidia kujikwamua na hii hali ngumu yasasa

Anae yajua masoko plz, msaada
 
kwa dodoma kuna watu huwa wanazitembeza kwenye mabeseni na dar es salaam maeneo ya kisutu/zanaki kuna sehemu wanaziuza hasa kipindi cha msimu wake hivyo unaweza tembelea maeneo hayo.
 
kwa dodoma kuna watu huwa wanazitembeza kwenye mabeseni na dar es salaam maeneo ya kisutu/zanaki kuna sehemu wanaziuza hasa kipindi cha msimu wake hivyo unaweza tembelea maeneo hayo.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom