Mbao original au sio[emoji23][emoji23]Nauza simu aina ya sumsung galaxy j5 kwa 250000 na kitanda mbao orijinal 5*6 kwa 270000View attachment 619143View attachment 619144View attachment 619145View attachment 619147
Sasa si ununue mbagala uje uuze humu?5*6 kitanda cha kisasa cha chuma Keko unaondoka nacho kwa laki tatu tu, 5*6 cha mbao Mbagara kipya unaondoka nacho kwa laki mbili kwa mbao ngumu na mbao laini mpaka laki na nusu.
Bei hiyo ya kitanda ni ya kitanda kisichowahi kutumika kabisa.
Biashara njema
[emoji28] [emoji28] [emoji28] mbao OGMbao original au sio[emoji23][emoji23]
Asante rais Magufuli