Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

[emoji1787][emoji1787][emoji91]
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya,, naomba msaada wa PC nzuri kwa ajiri ya kujisomea na unafuu wa bei na pia upatikanaji wake napatikana Kinondoni Dar karibuni na asanteni
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara. Nawaletea product zifuatazo za mafuta: 1. INDULEKHA HAIR OIL yanasifika kwa kusaidia...
3 Reactions
64 Replies
13K Views
Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa. Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo. Gari hii...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko,choo,bafu,stoo,na dinning. Pia nyuma ina nyumba ndogo yenye sebule na vyumba viwili. Bei ni Mil 50. Original Documents zote zipo. Kwa...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Intel Duo Core 2 HDD 160GB RAM 4GB +NO BETTERY , DIRECT FROM POWER SOURCE+ SOFTWARE INSTALLED * WINDOWS 10 *MICROSOFT OFFICE 2013 *ADOBE ACROBAT (PDF) *S HELPER YOUTUBE VIDEO DOWNLODER *VLC...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
Risit yake ipo Mzigo hauna tatizo lolote (nimenunua kubwa zaidi) Inaitwa HP COMPAQ DC7100 TOWER COMPUTER PROCESSOR Intel Pentium 4,3.2Ghz RAM 1Gb (512mb X2) Cd rom System 32bits Hard Disk 320gb...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari zenu nime ambiwa ofisi ya GRANT CARLCARE ipo karibu na jengo la NHC house mtaa wa samora mtaa huo upo wapi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jamii forums,natafuta forwarding company wanaotoa huduma za CBM kutoka UK to Tanzania
0 Reactions
0 Replies
863 Views
asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora,lita moja ni tshs 10000,napatikana dsm na nakuletea popote kwa wateja wa dsm,mawasiliano 0655030711.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mpya kabisa ndo inatoka leo bandarin.. +255 713 756 744 Madalali mnakaribishwa Madili ndo haya
0 Reactions
4 Replies
903 Views
[emoji3][emoji91]
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Habar wana jf kama kichwa kinavyosema kwa wale wamiliki na mameneja wa Mahotel, Migahawa na Bar sasa unaweza jipatia Menu/Bill holders bora kabisa kwa bei poa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naulizia hii Machine wapi naweza pata kwa hapa Dar.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyumba inapangishwa Vyumba vitatu choo cha ndani na nje Tabata Kisukulu Bei kwa mwezi 120,000
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wamekaangwa wakiwa fresh bila kuwekwa kwenye mabarafu hivyo wana ladha asilia. Karibu kwa oda na utapokea baada ya siku mbili. Tunatuma mikoa yote bei yake kwa samaki wawili wakubwa ni 15000...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Ubuyu unapatika wa kutosha bei ni 10,000 ndoo ya lita ishirini Karibuni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Gari aina ya suzuki aerio ikiwa bado kwenye hali nzuri kabisa (plate no. D) milage 80.000 cc 1490 kwa milion 9 tu, negotiable. Gari imesajiliwa mwaka 2016. For contacts nipigie 0717425183. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwanini ununue kwetu? *Hawana mchanga wala uchafu *Wamekaangwa wakiwa wabichi hivyo wanaweza kuliwa baada ya kupashwa tu sio lazima kuunga na nyanya. *...
1 Reactions
18 Replies
10K Views
Napokea oda ya kuku kuanzia wawili (2) na kuendelea waliokwisha kuandaliwa tayari bei inaanzia 15000-20000 Dar unaletewa ulipo na wengi kuanzia100 hawa Ukishaagiza unapata baada ya siku 2 bei ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…