jombi95 JF-Expert Member Jul 24, 2016 1,404 2,156 Nov 7, 2017 #1 Wakuu naulizia hii Machine wapi naweza pata kwa hapa Dar.
H hekimanyingi JF-Expert Member Jul 12, 2013 679 573 Nov 7, 2017 #2 Ninayo ila haina option ya ku-print vikombe.
jombi95 JF-Expert Member Jul 24, 2016 1,404 2,156 Nov 7, 2017 Thread starter #4 hekimanyingi said: Ninayo ila haina option ya ku-print vikombe. Click to expand... Mkuu unapatikan wapii. . Wewe unaitumia mwenyewe au iko dukani kwako. .??
hekimanyingi said: Ninayo ila haina option ya ku-print vikombe. Click to expand... Mkuu unapatikan wapii. . Wewe unaitumia mwenyewe au iko dukani kwako. .??
M Mkwaruu JF-Expert Member Mar 13, 2017 2,929 1,706 Nov 8, 2017 #5 jombi95 said: Wakuu naulizia hii Machine wapi naweza pata kwa hapa Dar. Click to expand... Mku cheki na hawa jamaa 0715316614 kila unachohitaji jibu wanalo kwani ni wakala
jombi95 said: Wakuu naulizia hii Machine wapi naweza pata kwa hapa Dar. Click to expand... Mku cheki na hawa jamaa 0715316614 kila unachohitaji jibu wanalo kwani ni wakala
F FRESHMAN JF-Expert Member Sep 29, 2011 8,822 33,527 Nov 8, 2017 #6 Upepo wa Pesa said: Cc FRESHMAN Click to expand... thanks mkuu... mimi ninayo naiuza mpya kabisa... uzi wangu huu Tshirt printing Machine inauzwa.. ( Heat Press Machine)
Upepo wa Pesa said: Cc FRESHMAN Click to expand... thanks mkuu... mimi ninayo naiuza mpya kabisa... uzi wangu huu Tshirt printing Machine inauzwa.. ( Heat Press Machine)