Naombeni mnielekeze

Naombeni mnielekeze

Traviana Tray

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
546
Reaction score
457
Habari zenu nime ambiwa ofisi ya GRANT CARLCARE ipo karibu na jengo la NHC house mtaa wa samora mtaa huo upo wapi?
 
Nyuma ya lile kanisa kubwa la posta la ROMAN CATHOLICS ambalo linatazamana na Azam marine ferry, pia Kama una smartphone tumia Google location tuu usafiri pekee Kama hauna usafiri binafsi kufika pale itakubidi upande mwendokasi.

0ed67445cdf68e9943c169ee089b017e.jpg

Kanisa linaitwa st.joseph cathedral Kama unavyojionea kwenye ramani hapo nyuma yake Sasa, ila nikupe angalizo Kama unaishi mkoani Kama Mimi angalia usiabike humo ndani Kama utahitaji kupanda juu kwenye hilo jengo la NHC maana Kuna zile lift za ngazi zinatembea sijui ndio zinaitwa escalator kuwa makini sana mkuu.
 
Kama hajaelewa hapa nadhani nae atakuwa kichwa namba 8 kwa kweli.

Ngoja tuone.
 
Nyuma ya lile kanisa kubwa la posta la ROMAN CATHOLICS ambalo linatazamana na Azam marine ferry, pia Kama una smartphone tumia Google location tuu usafiri pekee Kama hauna usafiri binafsi kufika pale itakubidi upande mwendokasi.

0ed67445cdf68e9943c169ee089b017e.jpg

Kanisa linaitwa st.joseph cathedral Kama unavyojionea kwenye ramani hapo nyuma yake Sasa, ila nikupe angalizo Kama unaishi mkoani Kama Mimi angalia usiabike humo ndani Kama utahitaji kupanda juu kwenye hilo jengo la NHC maana Kuna zile lift za ngazi zinatembea sijui ndio zinaitwa escalator kuwa makini sana mkuu.
Asante me nipo dar
 
Paulina ray, kurahisisha kazi.....ebu ni Pombe M...fuli namba yako ya simu kwa maelekezo ya uhakika na ikibidi kukufikisha, nipo nipo tu sina shughuli.........ule uhakiki si unaukumbuka???
asante!
 
Nyuma ya lile kanisa kubwa la posta la ROMAN CATHOLICS ambalo linatazamana na Azam marine ferry, pia Kama una smartphone tumia Google location tuu usafiri pekee Kama hauna usafiri binafsi kufika pale itakubidi upande mwendokasi.

0ed67445cdf68e9943c169ee089b017e.jpg

Kanisa linaitwa st.joseph cathedral Kama unavyojionea kwenye ramani hapo nyuma yake Sasa, ila nikupe angalizo Kama unaishi mkoani Kama Mimi angalia usiabike humo ndani Kama utahitaji kupanda juu kwenye hilo jengo la NHC maana Kuna zile lift za ngazi zinatembea sijui ndio zinaitwa escalator kuwa makini sana mkuu.
Hahaha nimelipenda angalizo lako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom