Maalum kwa anae hitaji milango tuu!

K

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
167
Likes
94
Points
45
K

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
167 94 45
Hii ni maalum kwa anae hitaji milango ya nyumba hasa kwa dar es salaam, weka order yako mlango mmoja tsh 450k pia bei hutofautiana kulingana na size ya mlango wenyewe na aina ya mbao mfano mninga, mtundu, mkurungu ama mbanga. Please jokes aside we need only who are serious ,utaletewa mlango wako popote ulipo kwa dar es salaam, ni vema ukatuma picha ya mlango unao uhitaji watsp ili utengenezewe pia utatumiwa baadhi ya picha za milango mbalimbali ili uchague unaokufaa.
Weka order mapema, utengenezewe mapema.

Whatsup 0682261118 ,, NB Picha nitakutumia watsap kwa wewe utakae hitaji, utatoa pesa yako pale tuu utakapo letewa mlango wako, picha siwezi kuzi aplod hum , plz this is for serious people , kwa maswali yote njoo watsap huku naweza nisikujibu kwa wakati. AHSANTENI
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
22,809
Likes
10,948
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
22,809 10,948 280
Hii ni maalum kwa anae hitaji milango ya nyumba hasa kwa dar es salaam, weka order yako mlango mmoja tsh 450k pia bei hutofautiana kulingana na size ya mlango wenyewe na aina ya mbao mfano mninga, mtundu, mkurungu ama mbanga. Please jokes aside we need only who are serious ,utaletewa mlango wako popote ulipo kwa dar es salaam, ni vema ukatuma picha ya mlango unao uhitaji watsp ili utengenezewe pia utatumiwa baadhi ya picha za milango mbalimbali ili uchague unaokufaa.
Weka order mapema, utengenezewe mapema.

Whatsup 0682261118 ,, NB Picha nitakutumia watsap kwa wewe utakae hitaji, utatoa pesa yako pale tuu utakapo letewa mlango wako, picha siwezi kuzi aplod hum , plz this is for serious people , kwa maswali yote njoo watsap huku naweza nisikujibu kwa wakati. AHSANTENI
Hizo ndizo bei tunazouziwa huku mitaani
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
3,947
Likes
2,369
Points
280
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
3,947 2,369 280
Si kweli top tuu inauzwa 500k
Hakuna top ya mlango ikauzwa laki tano, haiwezekani kabisa. Ukienda vetenary tu pale, top haizidi laki mbili na hàpo ujalialia. Acha uwizi wewe!!
 
LAMOLAMO

LAMOLAMO

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Messages
248
Likes
212
Points
60
LAMOLAMO

LAMOLAMO

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2017
248 212 60

Ukiona mteja anataja habari ya vetenary kimbia hamna biashara hapo.
 
K

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
167
Likes
94
Points
45
K

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
167 94 45
Hakuna top ya mlango ikauzwa laki tano, haiwezekani kabisa. Ukienda vetenary tu pale, top haizidi laki mbili na hàpo ujalialia. Acha uwizi wewe!!
Samahani kaka please and please usiniite mwizi tena acha kabisa, wewe kama huwezi nyamaza au kanunue huko kwa laki mbili , akili ya wtanzania sijui ipoje , I can say you are a fool coz hufikilii , hivi ulishajiuliza kwa nini dukani pipi sh. 50 afu mlimani city pipi hiyohiyo unainunua kwa 1000 , think twice ningekuona wabusara sana ungeniuliza maswali kuhusiana na ubora wa milango hiyo pamoja na top, eti mbao ya mtondo cjui nini yani ndo ulinganishe na mninga , plz and plz mm si mwizi be carefully,
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
3,947
Likes
2,369
Points
280
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
3,947 2,369 280
Samahani kaka please and please usiniite mwizi tena acha kabisa, wewe kama huwezi nyamaza au kanunue huko kwa laki mbili , akili ya wtanzania sijui ipoje , I can say you are a fool coz hufikilii , hivi ulishajiuliza kwa nini dukani pipi sh. 50 afu mlimani city pipi hiyohiyo unainunua kwa 1000 , think twice ningekuona wabusara sana ungeniuliza maswali kuhusiana na ubora wa milango hiyo pamoja na top, eti mbao ya mtondo cjui nini yani ndo ulinganishe na mninga , plz and plz mm si mwizi be carefully,
Hakuna ubora tofauti wa top za milango, au unajua wako mafara humu jf? Top ya mlango iwe half panel au long panel even plain, hauwezi ukauza laki 5!! Acha bwana. Au wewe unatumia mbao za 4×8 nini, lakini kama ni 2 by 6 au 2 by 8 haiwezekani kabisa. Ebu tuambie top moja inatumia mbao ngapi? Na hizo mbao wewe unanua elfu 80 au? Nenda zako na mifano ya kitoto, eti pipi!! Utapiga nayo sana picha. Kama uneingizwa mkenge ukajua ndio biashara hiyo, wenzako tumeifanya zamani sana. Mwivi mkubwa wewe!!
 
duh
 
K

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
167
Likes
94
Points
45
K

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
167 94 45
Hakuna ubora tofauti wa top za milango, au unajua wako mafara humu jf? Top ya mlango iwe half panel au long panel even plain, hauwezi ukauza laki 5!! Acha bwana. Au wewe unatumia mbao za 4×8 nini, lakini kama ni 2 by 6 au 2 by 8 haiwezekani kabisa. Ebu tuambie top moja inatumia mbao ngapi? Na hizo mbao wewe unanua elfu 80 au? Nenda zako na mifano ya kitoto, eti pipi!! Utapiga nayo sana picha. Kama uneingizwa mkenge ukajua ndio biashara hiyo, wenzako tumeifanya zamani sana. Mwivi mkubwa wewe!!
Wewe wasema , mm nauza na biashara inasonga mbele kama kawaida na mkwanja naingiza, baki na iman yako hiyo hiyo , yaani mlango nikuletee hadi kwako tena ubao wa mninga nikuuzie laki mbili nimerogwa ama? Wewe tulia hutaki acha kila mtu na biashara yake wewe kama unaona ni wizi basi kula kona wenye uhitaji wananifuata na mambo yanasonga mbele ,
 
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,252
Likes
224
Points
160
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,252 224 160
Hahahahaa
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,415
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,415 280
Samahani kaka please and please usiniite mwizi tena acha kabisa, wewe kama huwezi nyamaza au kanunue huko kwa laki mbili , akili ya wtanzania sijui ipoje , I can say you are a fool coz hufikilii , hivi ulishajiuliza kwa nini dukani pipi sh. 50 afu mlimani city pipi hiyohiyo unainunua kwa 1000 , think twice ningekuona wabusara sana ungeniuliza maswali kuhusiana na ubora wa milango hiyo pamoja na top, eti mbao ya mtondo cjui nini yani ndo ulinganishe na mninga , plz and plz mm si mwizi be carefully,
Sasa mkuu unamwambia mwenzako asikuite mwizi...sekunde 10 baadae unamuita fool!!....why???
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,415
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,415 280
Wewe wasema , mm nauza na biashara inasonga mbele kama kawaida na mkwanja naingiza, baki na iman yako hiyo hiyo , yaani mlango nikuletee hadi kwako tena ubao wa mninga nikuuzie laki mbili nimerogwa ama? Wewe tulia hutaki acha kila mtu na biashara yake wewe kama unaona ni wizi basi kula kona wenye uhitaji wananifuata na mambo yanasonga mbele ,
Chief you need to learn to manage your (potential) customers...unapaswa kuwaelimisha kwanini bidhaa zako ni bora kuliko za wengine...dah
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
6,664
Likes
4,444
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
6,664 4,444 280
Weka picha hata moja mkuu ili kuondoa huo ubishani,au nayo utashindwa..!!
 
K

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
167
Likes
94
Points
45
K

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
167 94 45
Sasa mkuu unamwambia mwenzako asikuite mwizi...sekunde 10 baadae unamuita fool!!....why???
Soma mchango wake wa kwanza alini attack na kuniita mwizi , unapo comment jaribu kupitia mazungumzo yetu , huwezi kum attack mwenzio na kusena ni mwizi , kila MTU na biashara yake kwan angechangia kistaarabu paspo kuniita mm mwizi kinge haribika kipi mkuu, ila kuna watu wanatabia mbaya badala ya ku negotiate yeye anaanza kuku percieve tofauti hicho ndo kilicho nikera
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,415
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,415 280
Soma mchango wake wa kwanza alini attack na kuniita mwizi , unapo comment jaribu kupitia mazungumzo yetu , huwezi kum attack mwenzio na kusena ni mwizi , kila MTU na biashara yake kwan angechangia kistaarabu paspo kuniita mm mwizi kinge haribika kipi mkuu, ila kuna watu wanatabia mbaya badala ya ku negotiate yeye anaanza kuku percieve tofauti hicho ndo kilicho nikera
Mkuu nimesoma kila comment humu, neno kwa neno...nakubali amekosea na hana sababu yoyote ya kukuita mwizi....ila pia kama mfanyabiashara hukuwa na sababu ya kumuita fool...muelimishe tu
 
K

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
167
Likes
94
Points
45
K

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
167 94 45
Mkuu nimesoma kila comment humu, neno kwa neno...nakubali amekosea na hana sababu yoyote ya kukuita mwizi....ila pia kama mfanyabiashara hukuwa na sababu ya kumuita fool...muelimishe tu
Ok kaka nimekupata,huyo ni mfanya biashara pia so nilichokiona kwake ni jelous tuu, watu hatupendani kabisa katika biashara kila mtu hupanga bei yake kulingana na ubora wa bidhaa yake na mahali aitoako , sasa mtu anakuvamia tuu na kukupatia maji a ya ajabu haipendezi mkuu,
 
Forum statistics

Threads 1,237,178
Members 475,465
Posts 29,280,416