Natafuta kiwanja Arusha maeneo ya Ngongongale

Nikuunganishe na dalalali Ngongongare?? Ila hujasema Ngongongare ya mji mwema, tass, napoco au
 
hayo maeneo yanamfaa coz yapo karibu na chuo alichokitaja hapo juu.

vipimkuu viwanjaktk maeneo hayo vinaangukia ktk bei gani kwa haraka haraka?
 
yap, ni vizuri mkinisaida na range ya bei kwa saizi. maana, maeneo ya karibu na chuo sio mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom