A AK 6 New Member Joined Nov 8, 2017 Posts 3 Reaction score 0 Nov 10, 2017 #1 tigopesa 165000 mpesa 175000 airtel money 95000 zinafanya mkoa wowote na zipo tayari kufanya kazi 0621612009 Attachments download.png 7.4 KB · Views: 28
tigopesa 165000 mpesa 175000 airtel money 95000 zinafanya mkoa wowote na zipo tayari kufanya kazi 0621612009
Friday Malafyale JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,942 Nov 10, 2017 #2 Hizo line nasikia zinakuwa zinapigwa Kamisheni juu kwa juu, kuna jamaa akawa haingizi kipato kumbe za magumashi
Hizo line nasikia zinakuwa zinapigwa Kamisheni juu kwa juu, kuna jamaa akawa haingizi kipato kumbe za magumashi
Friday Malafyale JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,942 Nov 10, 2017 #3 Samahani jose
Msafirishaji JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,802 Reaction score 2,870 Nov 11, 2017 #4 Kama hakuna tatizo njoo uchukue 100k voda nataka
B Baba Kenzo JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 224 Reaction score 150 Nov 11, 2017 #5 Friday Malafyale said: Hizo line nasikia zinakuwa zinapigwa Kamisheni juu kwa juu, kuna jamaa akawa haingizi kipato kumbe za magumashi Click to expand... Hii yawezekana
Friday Malafyale said: Hizo line nasikia zinakuwa zinapigwa Kamisheni juu kwa juu, kuna jamaa akawa haingizi kipato kumbe za magumashi Click to expand... Hii yawezekana
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,556 Nov 11, 2017 #6 Jamani wana Jf wenzangu kama unataka hizo line nenda kwenye duka la mtandao husika na ufuate hatua zote upate line yako yenye jina lako kihalali
Jamani wana Jf wenzangu kama unataka hizo line nenda kwenye duka la mtandao husika na ufuate hatua zote upate line yako yenye jina lako kihalali