Natafuta soko la asali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta soko la asali.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tasia I, Apr 9, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  JF kwa maendeleo.
  Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari.
  jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru.
  akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana.
  Mikoa ya dar es salaam, morogoro, dodoma naipa kipaumbele.
  karibuni sana kimchango.
   
 2. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama asali yako haijachakachuliwa ni PM tafadhali. ila uwe tayari to supply the product kwa wingi pia eleza ujazo wako.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,889
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  Bei hutoa muuzaji sio mnunuzi, wewe ndie unajuwa gharama zako na ndio ujuwe kupanga bei.

  Mfano, ukiwa unauza kidogo kidogo (rejareja) baada ya gharama zote unaweza ongeza 20% na kama unauza kwa wingi unaongeza baada ya gharama zote, faida ya 5% to 15% kutegemea na turn over.

  Nawajuwa watu wanao nunua asali safi kwa wingi Dar. ni pm nikuunganishe nao. Kama sio chakachuwa na ni "constant supply", nikimaanisha iwe ni biashara ya kuendelea na si ya kujaribu soko mara moja.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Huku dodoma wanatuuzia elf 2, wanajaza kwenye chupa ya konyagi. Wanywaji wa konyagi watasema ile chupa ni litre ngapi.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,889
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  Huko wapi? Nimesoma sawa? Au macho yangu?
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,146
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Aaah Mkuu! Si amesema Dodoma! Yaani huoni?
   
 7. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Dar es Salaam ni Tshs 8000 kwa litre moja rejareja madukani
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  kigoma mwisho wa reli. Karibu.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  huwa ana makengeza.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,889
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  Job, we wacha tu, mwenyewe anaelewa kwanini nikauliza! "Waarabu wa Pemba twajuwana kwa vilemba"
   
 11. j

  jires New Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii forum naomba msaada wenu mimi ninaweza kusupply asali constantly kwa wingi kutoka TBR naSingida,naomba anaye fahamu soko la uhakika aniunganishe.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  NAOMBA 2ELEWANE KWANI MI NIPO HP ARUSHA NA BILA SHAKA ASALI CYO K2 CHA KUHANGAIKIA BIASHARA KWANI NI K2 AMBACHO SOKO LIKO WAZI KBS NAOMBA UKO MAKINI NA TOPIC HII NAOMBA MAJIBU NIKUANGUSHIE GMAIL KWA MAWASILIANO ZAIDI. (Nakusubiria)
   
 13. M

  Maga JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 323
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Je asali hiyo ni ya nyuki wadogo au wakubwa?
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Arusha kuna kiwanda cha kusindika asali na Iringa wapo Dabaga vegetable and Fruit Canning nao wanasindika asali, sina hakika na Ivory Iringa. Kupeleka Kiwandani moja kwa moja ni salama zaidi kwako muuzaji kuliko ma-argent wa mitaani. Jaribu kuwatafuta wasindikaji ktk miji hiyo.
   
Loading...