Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa...
Habari wakuu, nahitaji bajaji iliyo kwenye hali nzuri hapa dsm... tafadhali tuwasiliane haraka pesa ipo tyari....tafadhali utapeli ni kosa kisheria natoa tahadhari kaa mbali.
We provides you with the right financial tools to get the personal or business funding you need. We can help you turn an adverse situation into a positive outcome. We offer all kinds of financial...
Aina ni Sony Xperia c6833
Android version ni 5.1.1
Ram 2 bg...
Internal memory 16gb,cam mp 8
Sim Used Imetoka ulaya najua wengi wenu vyuma vimekaza ntawauzia kwa 350000/ bei ya kuuza sim Haina...
Habari, Natafuta chumba cha kuweka studio ya Muziki, Chumba kiwepo Magomeni au Kinondoni, Budget yangu ni 70000 kwa mwezi, Chumba kiwe mahali penye usalama na pasipo na Kelele nyingi. Kisiwe...
Habari wadau,[/SIZE]
Ninauza Toyota Hilux double Cabin 2.8 Diesel, Manual Transmission.
Bei ni 8,500,000 (8.5 M) mazungumzo yapo kwa serious buyer.
Gari ipo Bunju; Dar es salaam.
Mawasiliano...
Unasumbuliwa na fangasi,rangi kubanduka kwa muda mfupi jibu lipo kutana na mafundi waliobobea katika maswala ya skimming na rangi nasi tutakutatulia tatizo hilomawasiliano:0692940943
Tupo Dar es...
Naomba yeyote anayejua kama kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Tabata karibu na barabara naomba anijulishe.
Au kama kuna mtu anahama tunaweza kuongea akaniachia. Nina mgeni wangu toka mkoani...
Wakuu mambo vipi,
Hongereni kwa mchaka mchaka wa hapa na pale.
Tuwape pongezi wadau wote wa Scandinavia express baada ya kimya cha miaka mingi sasa wanarudi tena kwa kishindo licha ya kuwa...
Wakuu Salaam.
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D au C.,Mileage isizidi 100000km,kutoka kwa mwenye mali. Budget kwa sasa ni 6.5 M.
Njoo PM tuseme vizuri
Habari wadau.
Nahitaji Air Compressor yenye specification zifuatazo:
1. Iwe na Piston mbili au zaidi.
2. Iwe na motor ya three phase
3. Storage Tank Size - 250L au zaidi.
4. Pressure - 220 PSI...
wapendwa nahitaji wakala wa bima wa jubilee nataka kurenew my insuarence ya gari comphncv. Kama inakusu nijibu niko maeneo ya sinza
au kama kuna anaejua mawakala wanaoeleweka anijuze na mahali...