Wauzaji simu

Wauzaji simu

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Kwa wauzaji simu plz nitajieni bei ya samsung galax grand palm +
 
nenda madukani na wewe acha uvivu,mkipigwa bei kubwa unarudi tena kubwata hapa..
 
nenda madukani na wewe acha uvivu,mkipigwa bei kubwa unarudi tena kubwata hapa..
Ofkoz nataka ninunue but in other way nikama natoa msaada mtu katingwa hana hela anahitaji pesa asolve shida yake
 
Ofkoz nataka ninunue but in other way nikama natoa msaada mtu katingwa hana hela anahitaji pesa asolve shida yake
anhaa basi ikiwa mpya bei yake huwaga ni laki nne unusu hadi laki nne inategemea na duka,kama unamvua mtu ni laki tatu kushuka chini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom