Nahitaji wakala wa bima wa jubilee insuarance

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
232
wapendwa nahitaji wakala wa bima wa jubilee nataka kurenew my insuarence ya gari comphncv. Kama inakusu nijibu niko maeneo ya sinza
au kama kuna anaejua mawakala wanaoeleweka anijuze na mahali walipo.
 
Tafuta insurance broker yeyote atakupatia insurance cover ya jubilee.
 
wapendwa nahitaji wakala wa bima wa jubilee nataka kurenew my insuarence ya gari comphncv. Kama inakusu nijibu niko maeneo ya sinza
au kama kuna anaejua mawakala wanaoeleweka anijuze na mahali walipo.
Mbona Jubilee tu vipi wengine hawafai ndugu?!
 
Back
Top Bottom