Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,747
- 24,095
Naomba yeyote anayejua kama kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Tabata karibu na barabara naomba anijulishe.
Au kama kuna mtu anahama tunaweza kuongea akaniachia. Nina mgeni wangu toka mkoani anatarajia kukaa kwa miezi kadhaa.
Cha msingi chumba kiwe Tabata au maeneo ya karibu na ikiwezekana kiwe selfcontained au chumba na sebule.
Naombeni msaada wenu wadau wa JF.