Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu ninauza mayai ya kuku chotara bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tuna patikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
[https://1] Adam Boukadida, Acting Group Treasurer at Etihad Aviation Group, pictured centre with his Treasury Professional of the Year award, flanked by Matthew Hurn, Chief Financial Officer at...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
``````**AFRIsoft Technology Lab.* _Huduma tunazotoa_ ⚙Blog na app yake Tsh 30,000 ⚙Adsense account Tsh 50,000 ⚙Kutangaza biashara yako kwenye groups za whatapp zaidi ya elfu moja. Tsh 5,000 kwa...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Wakuu, Carina Ti namba D inahitajika haraka ndani ya wiki hii iwe na Km chini ya 90,000. Full ac, Dvd music system
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji iPhone 7 plus 128GB offer 1 million cash Nicheki kwa namba 0711633656 au 0746848506
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Hello waungwana, naomba kujua bei ya matofali yale ya kujenga bila sementi, yanapandiana tuu, hivi yanauzwaje. Na je ubora wake vip!? Tafadhali naomba mnisaidie
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunauza vifaa mbalimbali vya ulinzi. Pia tunafanya installation kupitia simu yako hii itakufanya uweze kupata taarifa hata ukiwa mbali na eneo lako. Tuko DAR ES SALAAM KARIAKOO Faya Mikoani pia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau nauza simu yangu aina ya Samsung S5. Ni nzima kabisa nimetumia mwaka sahvi. Betri inayokaa na charge sku nzima huku ukitumia. Nauza sababu nmenua Iphone6. Nayo nyingine S7. Zote natumia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama upo dar njoo pm tuwasiliane, nimeinunua toka dukani tarehe 2/10/2017, ni bado mpyaa haina shida yoyote. (iPhone 6s) naiuza 650k. Bei haipandi wala haipungui.
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaeuza simu awe Dar,iwe katika hali nzuri,internal storage kuanzia 16Gb+ nichek pm
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Eneo: Kibaha kwa mfipa km 2.5 kutoka morogoro road Ukubwa: 30*60 m Bei: 8,000,000/= Ni mali yangu sio dalali PM tufanye biashara
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaj mdada anaejua kazi za kwenye salon za kiume, awe na uzoefu wa kutosha. Salon ipo temeke Dar es Salaam. Piga 0659782778
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Jamani kuna mizani mikubwa inauzwa ni industrial scale inaweza kupima hadi kg 3000, inafaa sana kwenye biashara ya kupima mizigo mikubwa, atakayehitaji ani PM nimuanganishe na mhusika,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend.. Niko serious na nahitaji haraka. Hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninayo kama unataka mkeo awe na joto asikuboe njoo pm na elf 40 yako haina madhara imethibitishwa na tfda. Inasaidia mwanamke awe na hamu zaidi hata kama amezeeka pia kwa wale dry inasaidia...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
36000klm Ingine...2AZ CC........2400 VVTI. contact 0656202038
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hawa ni aina ya mbwa wenye nguvu sana na wako very agressive ukiwalea vibaya Ni breed yenye nguvu kuliko zote na hamna mbwa anaeweza kuzungumza mbele ya pitbull Wamebreediwa kuuwa mbwa wengine...
1 Reactions
74 Replies
16K Views
kwa wale wenye mahitaji ya office,apartment maeneo yafuatayo makumbusho,kinondoni,masaki,msasani office space zipo makumbusho karibu na jengo la tigo bei ni kuanzia $15-16.5 kwa sqmeter mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Helow, Napenda kusema kwa wahitaji wa mashudu yanapatikana na yanakufikia popote ww unapotaka kwan tuaangalia na ukubwa wa uhitaji wako kwan si bei ghali ni ksh 50 per kilo kama unaihitaj pls...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Kama title inavyojieleza hapo nahitaji sabufa kubwa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu Mimi nipo dar Kama unayo ni pm or comment hapa au weka picha yake niione tufanye biashara
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…