Wasalaam wana jamvi. Ninahitaji trekta la kukodi kwa ajili ya kulima. Shamba lipo kidomole, Bagamoyo. Ni hekari zipatazo 20, kwa mwenye treks naomba ni PM ukitaja na gharama yako kwa kila hekari...
Mitungi ya gas kilo 15 aina ya Oryx inauzwa ikiwa na gas yake ndani, mitungi ipo saba tu na naiuza kwa sh elfu90 kila mmoja.
Kwa maongezi na maelewano zaidi njoo PM
Nisaidieni nipate gari
Nahitaji Toyota IST yenye rangi kijivu au nyeupe, namba D na iwe katika hali nzuri: low mileage, tairi nzima, haidaiwi, haijapata ajali na haijarudiwa rangi.
Bei...
Wanabodi habarini za wikendi,
Kwa mwenye_kuwa anafahamu maeneo/kituo kukopatikana korosho kwa wingi hapa Dar es Salaam ninaomba kuelekezwa.
Ninatanguliza shukrani.
Pata series mpyaaa na movies kwa wale wadau wa Iringa.STRIKE BACK SEASON 6, VALOR, MARVEL INHUMANS na nyingine kibaooo!
Nichek kwa 0658714777 itapendeza
Kama,
Umekuwa mtu wa fedheha na huna amani katika ndoa yako kwa sababu umekumbwa na...
Uume kulegea....
Uume kutokusimama imara wakati wa tendo la ndoa...
Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa...
Uume...
Inatumia umeme wa majumbani. Bei na maelezo yote yapo kwenye picha. ipo tayari dukani DSM Kinondoni Mkwajuni nyuma ya CCM, lilipo tawi la timu ya Simba (utaona bendera nje). Mikoani tunatuma...
Kwema humu??
Kuna jamaa yangu anazua Shamba lake Liko kibiti, njia ya kwenda kusini (Kilwa road) umbali wa Kilometa 159 kutokea Ubungo Mataa. Umbali huo ni Kilometa 138 za lami mpaka kibiti...
This is a SHOP MANAGEMENT SYSTEM (With Batch number and Barcode ) Which is Used For Managing ,Retails,whole sellers,Medical Accounts,Sales and Stocks,Inventory Management.its have Powerful Feature...
Tunauza Viatu vya ngozi maarufu kama viatu vya kimasai
Viatu ni original ngozi na soli kutoka Kenya bei ni kuanzia 15000 maongezi yapo
Tupo Tanga Handeni
Karibuni sana
Liko Mbezi Beach-Jogoo ( mita 700 kutoka barabara kubwa).
Vyumba vitano vya kulala ikiwemo master bed room na baby room,sebule,dining,jiko na store
Nyumba ina nyaraka zote muhimu
Bei ni...
Habari zenu wakuu
Nimesikia majina ya waliobahatika kupata viwanja yametoka na wameandika katika maelekezo kwamba watayatupia humu.
jee wakuu kuna alieiona hiyo list?
Muwe na siku njema:confused2:
kwanza nitoe shukrani Kwa muumba aliye niwezesha kuandika jumbe hii..
Kama kichwa kinavyo jieleza.Mimi ni mama nilie amua kuachana Na kitendo cha kua tegemezi Kwa kuamua kujishughulisha...