Viwanja halmashauri ya mji wa babati

Viwanja halmashauri ya mji wa babati

sooro

New Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wakuu
Nimesikia majina ya waliobahatika kupata viwanja yametoka na wameandika katika maelekezo kwamba watayatupia humu.
jee wakuu kuna alieiona hiyo list?
Muwe na siku njema:confused2:
 
manyara babati hakuna wanajf wakutujuza kuhusu majina ya waliopata viwanja?
 
babati babati babati,makao makuu ya mkoa wa manyara hakuna wanajf huko?
 
Back
Top Bottom