Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,165
Natafuta kampuni au mtu mwenye facilities za kuchimba (kudrill) kisima cha maji maeneo ya kibaha
Mimi nilikua nafanya kazi hizo ila sasahivi nafanya kazi za drilling za sample za udongo, ila naweza kukupa watu wanaofanya kazi hizo Sababu ni industry mojaNatafuta kampuni au mtu mwenye facilities za kuchimba (kudrill) kisima cha maji maeneo ya kibaha
2000000 jamaa anachimba kwa mkono hadi apate NiPM nikupe no yakeNatafuta kampuni au mtu mwenye facilities za kuchimba (kudrill) kisima cha maji maeneo ya kibaha
Anachimba kwa mkono? Kwa uelewa wangu nadhani inahitajika machine ya kudrill mpaka mwamba wenye maji. Let's say 200m2000000 jamaa anachimba kwa mkono hadi apate NiPM nikupe no yake
Please naomba uniunganisheMimi nilikua nafanya kazi hizo ila sasahivi nafanya kazi za drilling za sample za udongo, ila naweza kukupa watu wanaofanya kazi hizo Sababu ni industry moja
Nitaomba pia kama anaweza kujenga platform support ya zege ya simtank la lita 10,000Mimi nilikua nafanya kazi hizo ila sasahivi nafanya kazi za drilling za sample za udongo, ila naweza kukupa watu wanaofanya kazi hizo Sababu ni industry moja
Mkuu umeshafanya instalation ya maji kwenye nyumba? Kama bado naomba nikufanyie hyo kaziNatafuta kampuni au mtu mwenye facilities za kuchimba (kudrill) kisima cha maji maeneo ya kibaha
Hapana nina project ya kufyatua matofali ndo maana kwanza nahitaji maji ya uhakikaMkuu umeshafanya instalation ya maji kwenye nyumba? Kama bado naomba nikufanyie hyo kazi
ockayDrilling & Dam Construction Agency ubungo, Jirani na geti ls Chuo