sijakuelewaSubir wanakuja
Msimbazi kwa mbele =ndio wapi mkuu?kama upo Dar, msimbazi police kwa mbele kuna duka wanauza vifaa vya printing..
kitua cha polisi msimbaz si unapajua kama ukitokea kariakoo huku...mbele kidogo mkono wa kulia c kuna sheli Bigbon sasa...sasa hapo achana na hyo sheli kulia upande wa kushoto kwako kama unatokea karkoo ukiuliza tu hapo wanakuonesha duka lipo kwa ndani kidogoMsimbazi kwa mbele =ndio wapi mkuu?