Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani mwenye kujua namba ya kampuni ya uchangiaji wa HIARI PSPF iitwayo PSS anitumie please sana rafiki
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Usijali Sana Kama unaitaji Spika na Upo Arusha nicheki kwa whatsapp upate picha na kufanya biashara 0787245182 kwa Bei ya punguzo ya sh 35000 toka 60000 location Usariver
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Aina ya Gari; Toyota spacio. Iwe na hali nzuri na gharama nafuu. Nasubiri mrejesho wenu mnaouza magari.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wanaJF, Mimi kijana mpambanaji wa kitanzania, natafuta mentor wa kilimo cha matango. Tafadhali Kama una hints zozote kuhusu kilimo hiki karibu tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WELCOME TO MEADOWS PROMOTIONS. we offer the following Activities proffessionaly:- 1.Email marketing Whatsapp marketing Social media marketing -We have 170,000 subscribers who will see your...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Je una tatizo la wadudu warukao na watambaao? Je mbu wanakusumbua sana? Je una mchwa ambao wanasumbua? Je mende wamekuzidia ,jikoni na vyooni? Je una tatizo la panya? Je eneo lako la kazi au...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
WELCOME TO MEADOWS PROMOTIONS. we offer the following Activities proffessionaly:- 1.Email marketing Whatsapp marketing Social media marketing -We have 170,000 subscribers who will see your...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
tunauza vitabu mbali mbali kwa anayeitaji anicheki no 0713503753 au ani pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu imetumika one week tu haina michubuko. Storage 8 gb, ram 1 gb Inauzwa 100,000 Kama una nokia asha 210 au nokia X2 ile ya batani au nokia E72 utaongeza 50,000 nakuachia. Napatikana pugu dsm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wadau, Natafuta Godown Dogo, Nataka kuweka mashine ya kusaga plastiki. Bajeti yangu ni Tsh 500,000 Kwa mwezi, Naweza lipa miezi sita, Maeneo ya Tegeta, Mwenge, Mbezi Beach, Tangi bovu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa pendwa kabisa Afrika Mashariki nina tatizo moja nahitaji msaada wenu kuna kaeneo kangu nimekakodisha sasa nahitaji kujenga ofisi.. Lakini ofisi hiyo itajengwa kwa mbao na siling...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wadau wa JF nimepata dili Kilindi Tanga lakini sijui mazingira ya huko yakoje. Mwenye nazo anijuze NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Eneo SQM 575 linauzwa Kata ya Miburani, mtaa wa keko machungwa (lina nyumba), panafaa kwa makazi gari inafika mpaka mlangoni, document yake ipo bei ni mil 75 maongezi yapo Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
T-shirt na vest mpya za AFRICAN LOYALTY zinapatikana kwa bei ilioo poa na kwa ubora mkubwa. Napatikana Sinza,Dar-Es-Salaam T-shirt nauza 18,000 na Vest jipatie kwa 13,000 Tunafikisha Ulipo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye anayo ABS Motor control ya gari aina ya Nadia anipm tafadhali
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Habari zenu wadau Nahitaji OVEN Machine Kubwa ya Deck 1 hadi 3 (Gas or umeme) ya kukodisha au used inayouzwa, Mwenye nayo au info kuhusiana na hili tufahamishane wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji alizeti tani 10 , Mwenye nayo anijulishe na bei kwa kilo Nipo Arusha.
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Habari kwa mahitaji ya agents kwa ajili ya kazi/biashara yako waweza kutuona BALUCHISTAN CLEARING AND FOWARDING CO LTD tupo dara es salaam,ni kampuni ambayo imesajiliwa na inatambulika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom