Natafuta gari aina ya Toyota Spacio

Natafuta gari aina ya Toyota Spacio

mwenyenacho

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
86
Reaction score
65
Aina ya Gari; Toyota spacio.

Iwe na hali nzuri na gharama nafuu.

Nasubiri mrejesho wenu mnaouza magari.
 
Kulikuwa na Uzi wa wauza magar lakini siuoni tena ,ungekusaidia sana sjui admin kaufuta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom