Tembele
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 1,154
- 350
Habari Wadau,
Natafuta Godown Dogo, Nataka kuweka mashine ya kusaga plastiki. Bajeti yangu ni Tsh 500,000 Kwa mwezi, Naweza lipa miezi sita, Maeneo ya Tegeta, Mwenge, Mbezi Beach, Tangi bovu, Goba, Makongo Juu, Survey, Mandela Road.
Sipo Online muda wote, Kama unafahamu napoweza pata nicheki kwa contacts hapo chini.
SMS/ Call / Whatsapp 0654741801