Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wakazi wa dar maeneo ya chang'ombe,keko,kilwa road na uwanja wa taifa na maeneo ya karibu na ukumbi wa sigara Karibuni kuosha magari kwa bei ya promotion kwa mashine ndani nje na injini Gari...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadau Natafuta manufacturer / supplier wa wooden poles zile zinazotumiwaga na TANESCO kwa ajili ya project moja kubwa .Kama kuna mtu anahusika au anajua lolote naomba tuwasiliane ASAP kule PM
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Wakuu wapi nitapata gold testing machine ya bei ndogo. Je hiyo mashine ipo na ni bei gani. Namaanisha portable ambayo naweza kuiweka hata kwenye begi. Nimejaribu kuangalia ALIBABA, naona kama zipo...
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Wakuu habari, Toyota Ist cc not more than 1400 inahitajika. Iwe used ambayo IPO ktk hali nzuri. Ikiwa Dodoma/Moro/Dar itapendeza zaidi. Nasubiri majibu!!!
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Jamani mwenye kujua namba ya kampuni ya uchangiaji wa HIARI PSPF iitwayo PSS anitumie please sana rafiki
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Usijali Sana Kama unaitaji Spika na Upo Arusha nicheki kwa whatsapp upate picha na kufanya biashara 0787245182 kwa Bei ya punguzo ya sh 35000 toka 60000 location Usariver
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Aina ya Gari; Toyota spacio. Iwe na hali nzuri na gharama nafuu. Nasubiri mrejesho wenu mnaouza magari.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wanaJF, Mimi kijana mpambanaji wa kitanzania, natafuta mentor wa kilimo cha matango. Tafadhali Kama una hints zozote kuhusu kilimo hiki karibu tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WELCOME TO MEADOWS PROMOTIONS. we offer the following Activities proffessionaly:- 1.Email marketing Whatsapp marketing Social media marketing -We have 170,000 subscribers who will see your...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Je una tatizo la wadudu warukao na watambaao? Je mbu wanakusumbua sana? Je una mchwa ambao wanasumbua? Je mende wamekuzidia ,jikoni na vyooni? Je una tatizo la panya? Je eneo lako la kazi au...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
WELCOME TO MEADOWS PROMOTIONS. we offer the following Activities proffessionaly:- 1.Email marketing Whatsapp marketing Social media marketing -We have 170,000 subscribers who will see your...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
tunauza vitabu mbali mbali kwa anayeitaji anicheki no 0713503753 au ani pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu imetumika one week tu haina michubuko. Storage 8 gb, ram 1 gb Inauzwa 100,000 Kama una nokia asha 210 au nokia X2 ile ya batani au nokia E72 utaongeza 50,000 nakuachia. Napatikana pugu dsm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wadau, Natafuta Godown Dogo, Nataka kuweka mashine ya kusaga plastiki. Bajeti yangu ni Tsh 500,000 Kwa mwezi, Naweza lipa miezi sita, Maeneo ya Tegeta, Mwenge, Mbezi Beach, Tangi bovu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa pendwa kabisa Afrika Mashariki nina tatizo moja nahitaji msaada wenu kuna kaeneo kangu nimekakodisha sasa nahitaji kujenga ofisi.. Lakini ofisi hiyo itajengwa kwa mbao na siling...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wadau wa JF nimepata dili Kilindi Tanga lakini sijui mazingira ya huko yakoje. Mwenye nazo anijuze NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Eneo SQM 575 linauzwa Kata ya Miburani, mtaa wa keko machungwa (lina nyumba), panafaa kwa makazi gari inafika mpaka mlangoni, document yake ipo bei ni mil 75 maongezi yapo Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
T-shirt na vest mpya za AFRICAN LOYALTY zinapatikana kwa bei ilioo poa na kwa ubora mkubwa. Napatikana Sinza,Dar-Es-Salaam T-shirt nauza 18,000 na Vest jipatie kwa 13,000 Tunafikisha Ulipo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…