golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Wakuu wapi nitapata gold testing machine ya bei ndogo. Je hiyo mashine ipo na ni bei gani. Namaanisha portable ambayo naweza kuiweka hata kwenye begi. Nimejaribu kuangalia ALIBABA, naona kama zipo ile sioni namna ya kuuliza vizuri kupata info zote, pia je kwa hapa Tanzania hamna sehemu naweza pata
Asanteni
Asanteni