Najitaji miche ya Matunda

Najitaji miche ya Matunda

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Wana JF ninahitaji miche ya Matunda. Ni sehemu gani dar es salaam au Bagamoyo ninaweza kupata miche mizuri na kwa bei nafuu. Ninahitaji zaidi ya miche 300. Miche ya maembe na mapapai
 
Wana JF ninahitaji miti ya miembe inayozaa baada ya mwaka mmoja. Nitaipata wapi bongo?
 
Wana JF ninahitaji miche ya Matunda. Ni sehemu gani dar es salaam au Bagamoyo ninaweza kupata miche mizuri na kwa bei nafuu. Ninahitaji zaidi ya miche 300. Miche ya maembe na mapapai

Kituo cha Kilimo pale Kiromo Bagamoyo nadhani kinaitwa Chambezi
 
Sokoine university kuna miche na ni bei chee kweli. Kwa miche 300 unaweza kujisababishia safari tu ukaenda.
 
Back
Top Bottom