Matofali madogo ya kuchoma (yanayong'aa na imara) morogoro

Matofali madogo ya kuchoma (yanayong'aa na imara) morogoro

Natania

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
262
Reaction score
217
1573cmj_20.jpegView attachment 76721Heshima kwa waungwana wote. Nimeamua kujenga ka-jumba kangu Morogoro na ningependa kujenga kwa matofali ya kuchoma. Swali - Je Kuna mtu anajua tofali imara za kuchoma zinapatikaneje (kwa Morogoro)? Je nawezakuzitengeneza mimi mwenyewe hizo tofali ama mpaka ninunue kwa wataalamu waliobobea? Kwa bahati mbaya tofali hizi nimeishia kuona kwenye picha (mojawapo ni hiyo niliyoatach pamoja na kwamba tofali zake hazing'ai) ama wakati napita sehemu mbalimbali lakini aina ya tofali ninayovutiwa nayo ni ile yenye mng'ao (nadhani hupigwa polish kuongezea mng'ao na nyumba ikijengwa kwa tofali kama hizo huwa haipigwi lipu). Mara nyingi tofali hizi huwa zinatengenezwa kwa size ndogo sana (tofauti na tofali za kuchoma zinazotengenezwa karibu kila sehemu nchini ambazo ni kubwa kiasi).

Tafadhali funguka kama unadata (aina, bei, any relevant information)

:violin:
 
Ungekua serious ningekuunganishia sehemu,ila kwasababu unatania basi wangoje wengine.
 
Ungekua serious ningekuunganishia sehemu,ila kwasababu unatania basi wangoje wengine.

Acha hizo mkuu, Jina ama avatar havihusiani kabisa na post/message (avatars and names are there for fun). Tiririka mkuu
 
Sasa kwanini uliamua kuchagua I'D ya hivo mkuu?

Duuuu! mbona ID ipo shwari tu hiyo! anyway in short nilichagua ID ambayo ni rahisi kuikumbuka. Ila kama unadata za hivyo vitofali nirushie nipo serious more than anyone would imagine!
 
Duuuu! mbona ID ipo shwari tu hiyo! anyway in short nilichagua ID ambayo ni rahisi kuikumbuka. Ila kama unadata za hivyo vitofali nirushie nipo serious more than anyone would imagine!
Mkuu mie mwenyewe navitafuta vitofari vya hivyo.......so as soon you have d info about d blocks pls give it to me olso.
 
Mbona hapo Moro watu wengi hufyatua na kuzichoma hizo tofali ,watafute wanyakyusa au Wapangwa wao ni maarufu kwa kazi ya kufyatua na kuchoma matofali,au pia Wangoni
 
Mbona hapo Moro watu wengi hufyatua na kuzichoma hizo tofali ,watafute wanyakyusa au Wapangwa wao ni maarufu kwa kazi ya kufyatua na kuchoma matofali,au pia Wangoni

Asante Mfianchi, kama una-contact za mmoja wao niPM.
 
Wafyatua matofali wengi sana wapo Moro.....tafuta connection watakusaidia....Moro naona ndio business nzuri sanaa
 
Mkuu.... Hivyo vitofauli labda vinafyatuliwa kwa mashine au kuna namnA yake ambayo si yakawaida......

Kwa uzoefu wangu tofali nyingi za kunyoma huwa nyekundu na kubwa kidogo, tena watu wanapenda zikiwa nyekundu kabisa wanasema ndo zimeiva vizuri........!

Kuanzia Mzambarauni, Kichangani, Kasanga, Bigwa zote ni dizaini iyo nyekundu....!
 
Back
Top Bottom