Senene kutoka Bukoba

Senene kutoka Bukoba

Isack inno B

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
97
Reaction score
51
Katika msimu huu wa senene Victoria Vachino kupitia idara ya Lake v fishmonger wanakuletea Senene kutoka Bukoba kwa bei ya TSh7000/= zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862. Mteja unaweza kuletewa hadi ulipo kwa makubaliano.

Kwa wamikoa mingine pia unaweza kutumiwa

Aidha bidhaa zingine kutoka BUKOBA zilizopo kwenye ofisi zetu ni sato kilo 8500 jumla na 9500 reja reja, sangara 6500 jumla na 7500 reja reja, pia dagaa kutoka Bukoba zilizokaangwa zinapatikana kwa bei ya kuanzia Tsh1000/= dagaa kavu pakti Tsh1000/= dagaa wabichi unaweza kutumiwa kwa makubaliano kupitia ndege. zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.14.42.jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.14.42.jpeg
    56.5 KB · Views: 109
  • WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.15.44.jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.15.44.jpeg
    43.7 KB · Views: 88
  • WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.18.jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.18.jpeg
    64 KB · Views: 83
  • WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.19 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.19 (1).jpeg
    70.3 KB · Views: 89
  • WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.19 (2).jpeg
    WhatsApp Image 2017-11-01 at 20.33.19 (2).jpeg
    64 KB · Views: 93
Katika msimu huu wa senene Victoria Vachino kupitia idara ya Lake v fishmonger wanakuletea Senene kutoka Bukoba kwa bei ya TSh7000/= zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862. Mteja unaweza kuletewa hadi ulipo kwa makubaliano.

Kwa wamikoa mingine pia unaweza kutumiwa

Aidha bidhaa zingine kutoka BUKOBA zilizopo kwenye ofisi zetu ni sato kilo 8500 jumla na 9500 reja reja, sangara 6500 jumla na 7500 reja reja, pia dagaa kutoka Bukoba zilizokaangwa zinapatikana kwa bei ya kuanzia Tsh1000/= dagaa kavu pakti Tsh1000/= dagaa wabichi unaweza kutumiwa kwa makubaliano kupitia ndege. zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara Tembon, unaweza kuwasiliana nasi kwa Voda 0752714965, halotel 0628660132 na tigo 0718249862.

Kimara Temboni ofisi gani, au toa maelekezo ya ramani yaliyo kamili
 
Kimara temboni barabara ya saranga karibu na MICO dispensari au kwa mpemba, kwa bodaboda ni mwendo wa dakika tatu nauli 1000 kutoka stendi ya kimara tembon
 
Yea ndiyo bei ya jumla hiyo, Kwa dar huwa zinauzwa 10,000 hadi 15,000. Kuhusu ujazo naomba nipime nitakupa jibu
Na kwa samaki bei ya jumla na kwa kg ngapi? Pia kumpelekea mteja unalipia gharama za usafiri?
 
Back
Top Bottom