rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Wakuu nipo serious.
Ninatafuta kiwanja chenye ukubwa wa zaidi 1000Sqm maeneo ya Salasala au Goba.
Budjet yangu ni 10 to 12M. Kiwanja kisiwe na migogoro na kiwe karibu na barabara kuu.
Mwenye nacho naomba ani PM.
Vyuma vimekaza lakini hatuna jinsi wakuu maisha yataendelea.