Ninauza kiwanja Mbagala Kiburugwa ni kama kilometa moja kutoka Mbagala Rangi Tatu. Kiwanja kina tofali 1100 na kina ukubwa wa mita 35 kwa 50. Kwa mawasiliano piga 0759199829 na 0713911399
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.