Natafuta mpuliza dawa za magugu

Natafuta mpuliza dawa za magugu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,906
Reaction score
9,690
Wakuu mambo vipi

Natafuta wale watu ambao huwa wanafanya kazi za kupulizia dawa ya kukausha magugu shambani

Nina shamba kama la hekari tatu naitaji hiyo huduma

Kama kuna mtu anajua then anipm
 
Wakuu mambo vipi

Natafuta wale watu ambao huwa wanafanya kazi za kupulizia dawa ya kukausha magugu shambani

Nina shamba kama la hekari tatu naitaji hiyo huduma

Kama kuna mtu anajua then anipm

uko mkoa gani ?
 
Back
Top Bottom