runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
heri ya mwakampya wajasiriamali wenzangu make najua ndo sehemu yetu hii ya kukutana.
kama mada inavyosema hapo, mimi nina shida ya haraka sana na mzani mkubwa; wenye kupima kilo zaidi ya 100 na wenye matairi.
kama kuna mtu mtu anaweza kuniunganisha na sehemu ambayo naweza kuupata, itakuwa vizuri zaid kama atani-pm.