Tunashukuru kwa taarifa Ndugu Jiwe dogo!Habari wakuu...!!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Kesho kuna nafasi 3 za lift kutoka Dom to Dar.
Kwa yeyote atakae kua na uhitaji wa safari ya kesho, tafadhali akuje PM.
Angalizo :
Chakula na mahitaji ya njiani utajitegemea.
Asante
Swali la msingi sana [emoji1] [emoji1]Utatumia gari gani mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Swali la msingi sana [emoji1] [emoji1]
La nyongeza njian unawasha kiyoyozi au ukihitaji ubaridi unajifungulia dirisha
Asante mkuu.Tunashukuru kwa taarifa Ndugu Jiwe dogo!
Je, unategemea kuanza safari saa ngapi?
Je, nikimuagiza mtu akuletee kifurushi changu uniletee Dar, unaweza kupokea?
Natanguliza shukurani; Ahsante
ni muhimu kujua mkuu lakini kama umejali basi tupotezeeNitatumia hii nilionayo, otherwise you are not serious mkuu
Asante kwa kuchangia mkuu