F Fahari JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 1,044 Reaction score 699 Jan 7, 2018 #1 Wadau,kwa yeyote anayefahamu ni wapi kwa Dsm wananunua minofu ya sangara(fillet) na bei zikoje kwa kg? Natanguliza shukrani
Wadau,kwa yeyote anayefahamu ni wapi kwa Dsm wananunua minofu ya sangara(fillet) na bei zikoje kwa kg? Natanguliza shukrani
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,329 Reaction score 10,608 Jan 7, 2018 #2 Mwanza wana nunuaje (bei zake) na wanunuzi ni wakina nani?
F Fahari JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 1,044 Reaction score 699 Jan 7, 2018 Thread starter #3 Chillah,sijui chochote kuhusu bei ya Mwanza wala akina nani wananunua.Mimi natafuta solo la hizo fillets za sangara kwa hapa Dsm.
Chillah,sijui chochote kuhusu bei ya Mwanza wala akina nani wananunua.Mimi natafuta solo la hizo fillets za sangara kwa hapa Dsm.