Rommy Ronny
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 664
- 885
Kwaajili Ya Dukani ni Used bei 55,000 kwa Moja..
Lakini Mazungumzo yapo Ni PM kwa Zaidi
Ziko tatu mkuuUnazo ngapi?
Wanatumia madukani mkuu kama unaweka vyuma alf waweza ning'iniza vituNi kitu gani hicho kwani?
Mkuu hizo waweka dukani alf unaninginiza material ngoja nitafute sampleMwenyewe sijajua ni nini hicho