Nauza fresh Strawberry

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,947
26,066
Salaam Wakuu,
Mimi ni mkulima wa matunda ya strawberry kutoka Morogoro..
Nauza kuanzia containers 15@4000...kwa bei ya jumla .na 5000kwa bei ya rejareja!ukitoa oda ndo naenda shambani..
Matunda ya strawberry yana faida nyingi sana mwilini
:-Ni NATURAL VIAGRA
:-yanapunguza uono hafifu
:-yanarekebisha kwa kiwango kikubwa sukari na presha mwilini
!:- nzuri kwa mifupa
:-mazuri sn kwa kupunguza mwili
Hayo ni baadhi tu!!
Karibuni sana...

Wasiliana nami kupitia no 0713969633,0685799697
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    138.2 KB · Views: 464
  • image.jpg
    image.jpg
    161 KB · Views: 497
Mkuu mbegu zake nazipatia wapi? Nataka nipande home

Mbegu za tanzania zinakubali sehem za baridi!!niliwah agiza dar hazijafanya vzr zinakuwa zinatoa maua tu uko wap wewe??km uko sehem za barid unawza jaribu!!karibu
 
Mbegu za tanzania zinakubali sehem za baridi!!niliwah agiza dar hazijafanya vzr zinakuwa zinatoa maua tu uko wap wewe??km uko sehem za barid unawza jaribu!!karibu
Mimi nipo Dar, nielekeze sehemu za kuzipata hizo mbegu, au week ijayo naweza kuja Moro ukaniuzia
 
Hongera for the big step......mimi nimeanza na strawberries kidogo nilizopewa na rafiki arusha,in sha allah mwezi huu nitapanda mbegu zaidi kwenye ka bustani kangu kadogo mbegu nimeshazipata.
Wenye info zaidi karibuni!
Pia kwa wanaohitaji mbegu wanicheki(seeds) not seedlings
 
Hizi strawberry, unamletea mteja alipo au anafuata huko uliko.
kwa mfano kama nataka piece 30 kila week unaweza ku supply ?

Mi naweza kukutumia uliko.... ila mi niko mkoani .... na nitakuwa nasafirisha kwa ndege....

Mimi nitakuuzia kwa kilo moja
Elf 30.
Gharama za usafiri kwa ndege ni juu yangu....
Zitakufikia kwa wakati na ubora sahihi..

Kama uko serious njoo inbox tufanye business...
Nina uwezo wa kutoa zaidi ya kilo 50-100 kwa wiki.

Niko umbali wa km 1000 toka dar.
Karibu.

Miche pia nauza mmoja elfu 3.
Mbegu hauwez kuziotesha.... mi nimefanya hii kazi miaka 7 now ila nimeahindwa kuotesha mbegu.

Sent from "La -Vista"
 
Hizi strawberry, unamletea mteja alipo au anafuata huko uliko.
kwa mfano kama nataka piece 30 kila week unaweza ku supply ?
Na kwa msaada zaidi.... soko la uhakika ni dar... arusha na znz.

Hotel kubwa... wazungu... na viwanda vya kutengeneza radha.

Bei kwa kilo kuanzia elf 50-100. Fanya utafiti

Masoko ya nnje pia yapo.

Sent from "La -Vista"
 
Hongera for the big step......mimi nimeanza na strawberries kidogo nilizopewa na rafiki arusha,in sha allah mwezi huu nitapanda mbegu zaidi kwenye ka bustani kangu kadogo mbegu nimeshazipata.
Wenye info zaidi karibuni!
Pia kwa wanaohitaji mbegu wanicheki(seeds) not seedlings
Habari mkuu, upo Arusha sehemu gani. Nahitaji mbegu za strawberry tafadhali
 
Na kwa msaada zaidi.... soko la uhakika ni dar... arusha na znz.

Hotel kubwa... wazungu... na viwanda vya kutengeneza radha.

Bei kwa kilo kuanzia elf 50-100. Fanya utafiti

Masoko ya nnje pia yapo.

Sent from "La -Vista"
Mimi sihitaji soko, nahitaji mtu wa ku supply wa uhakika
 
Mi naweza kukutumia uliko.... ila mi niko mkoani .... na nitakuwa nasafirisha kwa ndege....

Mimi nitakuuzia kwa kilo moja
Elf 30.
Gharama za usafiri kwa ndege ni juu yangu....
Zitakufikia kwa wakati na ubora sahihi..

Kama uko serious njoo inbox tufanye business...
Nina uwezo wa kutoa zaidi ya kilo 50-100 kwa wiki.

Niko umbali wa km 1000 toka dar.
Karibu.

Miche pia nauza mmoja elfu 3.
Mbegu hauwez kuziotesha.... mi nimefanya hii kazi miaka 7 now ila nimeahindwa kuotesha mbegu.

Sent from "La -Vista"
unaharibu uzi wa mwenzio , biashara atangaze yeye nawewe unakuja kujinadi siyopoa mkubwa
Sawa karibu sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom