Nahitaji gari

Nahitaji gari

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.

Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
 
Peleka Uzi jukwaa la vyombo vya usafiri
 
Ntumie namba yako ya whatsap nkurushie magari uyaone

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom