Wapi naweza kupata viwanja vya bei rahisi???

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Wadau natafuta viwanja vya bei rahis mahali popote pale hata ikiwa vijijin ndani ndani haina shida,,,,. Anayejua wapi naweza kupata anisaidie

Tena nataka vile vya heka moja kwa 50,000 kama vipo

Asanteni kwa watakaonisaidia
 
Kwaio pesa yako mzee nenda kibiti tu ukatiwe pori then utaamua ulime au ujenge
 
Wadau natafuta viwanja vya bei rahis mahali popote pale hata ikiwa vijijin ndani ndani haina shida,,,,. Anayejua wapi naweza kupata anisaidie

Tena nataka vile vya heka moja kwa 50,000 kama vipo

Asanteni kwa watakaonisaidia
Unataka Shamba au Kiwanja??
 
Back
Top Bottom