Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi plus ya kilo hamsini hamsini...Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Kiwanja kinauzwa Dar es salaam,msasani mil 350 Kimweri Avenue near by Tirdo kinafaa ata kwa yard ya magar Mawasiliano 0657 131366
0 Reactions
18 Replies
2K Views
IT IS PINK HIJAB DAYS FOR ALL STARA WOMEN. Kwa maelezo zaidi follow instagram page yetu (pink_hijabtz),weka picha yako ukiwa umevaa hijab ya pink kwenye akaunti yako ya instagram kisha tag...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
mwenye nazo mpya nahitaji fasta pc mbili niPM
0 Reactions
3 Replies
861 Views
samsung galaxy S4 mpya inauzwa 300,000/= baadhi ya specification: RAM 2GB Internal 16gb rangi nyeupe full box with all accesories nipo dar mabibo kwa anayehitaji ni pm au nicheck 0713280314
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nahitaji seldom machine muuzaji naomba awe na tin number Pamoja na leseni ya biashara ili tubadili jina kabisa niko Dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Habari ya Jpili; kichwa cha tangazo chahusika. Ninahitaji la samsung J5 prime MPYA kwa bei ya Tsh 350000. Mwisho wa tangazo ni kesho saa 1800 hrs 08/01/2018. Karibuni..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini Yoyote anae Jua ninapoweza kupata Hina (henna) ya unga kwa bei ya jumla, Niko iringa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mahindi yapo Safi Hata dalili ya kubunguliwa Bado yapo sumbawanga. Kwa mnunuzi anaye hitaji naomba tuwasiliane namba kwa namba hizi 0753422844., 0718930097
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa wale wafanyabiashara ya kuku basi hapa ni bei Poa pata kuku kumi kwa 120000 ni kuku wa kienyeji tu kwa mawasiliano 0629272963
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nina Kiwanja nakiuza kiko bukoba mjini barabarani kabisa .Pia Kuna na Frame saba ziko nawapangaji,na nyumba ya kuishi ya vyumba vinne kila chumba ni self. Frame za duka kila...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu.... Kama 'heading' inavyojieleza. Nahitaji laini za M-pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halopesa. Kama unazo ni-pm tufanye biashara au WhatsApp 0784132525
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mchele uliothibitishwa na wataalamu wa lishe na madaktari ulimwenguni mweote kuwa unawafaa watu wenye kisukari. Sasa unapatikana nchini Tanzania. Kwa aliye na nia nao na ana hitaji . Ani PM...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Heshima kwenu wote, Dereva mzoefu na mwaminifu mwenye zaidi ya miaka 25 ya udereva, anatafuta gari ya kuendesha na kupata ridhiki,ana uzoefu wa kuendesha gari aina zote kuanzia malori makubwa...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Wadau wa kilimo,nina shamba langu ekari 5 linapatikana maeneo ya kingolwira,umbali wa kama km 20 kutoka main road,(Dar - Moro). Pnafikika vizuri kabisa kwa usafiri wowote,ninauza kwa sababu nina...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu habari nimeamua kufunga ofisi yangu kutokana na biashara kuwa ndivyo sivyo, nina meza kubwa,printer,cabinet na meza ya reception na kiti cha reception,pamoja na viti vya wageni vinne, bei ni...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wadau, Nina muhogo eka mbili upo tayari kwa ajili ya mavuno na kuuzwa kwa anaetaka ni muhogo kutokea njia ya digo Tanga na ni mtamu haswa. Kwa anaetaka tuwasiliane PM au kama kuna mtu anajua...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
Bitclub ni campany inayohusika na trading ambayo inafanya kazi ya kununua na kuuza coin (inanunua coin za kidigital kwa bei ya chini na ikipanda kuuza kwa bei ya juu) DOLLAR KILA SIKU ZINAINGIA...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
S6 edge 32gb original bado kwenye box. Full n.a. accessories zote. Fast charger iko ndani. Warranty 1year. Kwa mahitaji ya simu za uhakika na kwa uaminifu tuna deliver. Call:071730913/0625518320...
1 Reactions
2 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…