Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,427
- 1,758
Habari wakuu,
Naomba kwa yoyote anayeweza kunipatia chainsaw ya kukodi kwa kipindi cha mwezi mmoja aje inbox. Ninaihitaji kwa haraka. Nimecheck hapo mtaa wa india wanaziuza 1.560.000.
Ninahitaji Hursqvana 272 ama 365 au nyingine bora kama hizo.
Asanteni.